Resipe ya Chai yenye viungo

MAHITAJI
1. Maziwa lita 1
2. Majani kijiko kimoja cha chai
3. Iliki ya kusagwa kijiko kimoja cha chai
4. Mdalasini wa kusagwa kijiko kimoja cha chai
5. Tangawizi mbichi
6. Karafuu ya kusagwa kijiko kimoja cha chai
7. Sukari 

MATAYARISHO
Mimina maziwa kwenye sufuria safi na uyabandike jikoni
Yakichemka tia majani,iliki, mdalasini,karafuu, tangawizi na mdalasini kiwango tulichokitaja kwenye mahitaji huku ukikoroga kwa kutumia kichungio na moto uwe wa wastani
Koroga kwa dakika tatu halafu tia sukari kiwango upendacho 
Epua chai yako uichuje kwa chujio huku ukiitia kwa chupa ya chai au kikombeni.
Na chai yako tayari😋




Comments

  1. Nice wako
    Sasa mtoto mzuri mahari yako shilingi ngapi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hahahaha hayo mengine sasa......😄😄👍

      Delete
    2. Wow nimeipenda sna kwa itabdi ss wengne pia tujifunze kurauka kwa ss😂😂😂😂😂😂

      Delete
    3. Cha I inamvuto na rangi ajab looks yummy

      Delete
  2. Napenda chai ya mkandaa lakini jinsi umenionyesha huu utaratibu, naruka kwa chai ya viungo😊

    ReplyDelete
  3. Mimi nimeshindwa kuipika💔unaeza kuja unipikie?😅

    ReplyDelete
  4. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  5. Umesema tujue kupika chai sio..
    Kazi nzuri

    ReplyDelete
  6. MashaAllah. Ii chai inakaa tamu Sana. C kwa viungo Ivo😋Mpaka nijaribu. ..

    ReplyDelete
  7. Woooow! Hioo chai na vishete siku inakuwa njema

    ReplyDelete
  8. Chai tamu hii ukiiteremsha na njugu karanga. Heko!

    ReplyDelete
  9. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  10. Replies
    1. Wow mashallah acha ni jaribu kumpikia mume wangu huenda sitoachwa duuh Si kwa viungo hivyo,

      Delete
  11. Delicious,thanks for your recipe

    ReplyDelete
  12. Hewala, hapo tosha. Ni Chai iandaliwe na inyweke mara iyo hiyo.. Shukran kwa mafunzo yako. Elimu ni bahari.

    ReplyDelete
  13. Ziiidi kuzidi kuitangaza pwani na mautamu yake.

    ReplyDelete
  14. Woooow Chai iko tamu ile ile kusema ukweli 👌👌👌

    ReplyDelete
  15. This is educative. Keep shining buddy

    ReplyDelete
  16. Chai taam chidada nmeipenda 🥰 rangi yake yanivutia

    ReplyDelete
  17. Kwani ishapikika tayari hadi mate kinywani na kooni yanikereza... Mashaallah nimeipenda.

    ReplyDelete
  18. I tried preparing this for my wife and it came out delicious. She loved it. Thanks!! 😘

    ReplyDelete
  19. Mashallah napenda mapishi yako

    ReplyDelete
  20. Nice one we learn more from this

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

TOXIC RELATIONSHIPS AMONG CAMPUS STUDENTS

RESIPE ZA KIPWANI